Sunday, March 14, 2010

Meli yaungua moto Zenji




Meli ya MV Serengeti ikiungua moto ikiwa iko nje kidogo ya bandari ya Zanzibar, huku wafanyakazi wa shirika la bandari Zanzibar kwa kushirikiana na kikosi cha zimamoto na uokozi (KZU) wakiwa katika jitihada za kuuzima moto huo. Meli hiyo yenye namba za usajili IMO:6818796 ilikua katika matayarisho ya kwenda kisiwani Pemba usiku wa jana, hata hivyo chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika. Picha nyingine wananchi mbalimbali wakishuhudia meli ya MV Serengeti ikiungua moto nje kidogo ya bandari ya Zanzibar.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...