Wednesday, March 24, 2010

Operesheni Sangara





Wakazi wa Kibaigwa Wilayani Kongwa mkoani Dodoma wakimlaki Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kabla ya kuhutubia mkutano wa juzi, ikiwa ni sehemu ya ‘Operesheni Sangara’ inayoendelea mkoani humo. Picha na Jube Tranquilino.

No comments:

SERIKALI YATOA WITO KWA DIASPORA KUWEKEZA NYUMBANI

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. David Cosato Chumi (Mb) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirik...