Monday, March 01, 2010

Abiria 49 wanusurika ajali ya ndege


Ndege ya ATCL imetua Mwanza asubuhi ikiwa na abiria 49, matairi ya nyuma yalitoka na kutua salama, lakini tairi la mbele lilipuka, Bahati nzuri mvua kubwa ilikuwa inanyesha, kwa hiyo ikawa ndio fire brigade, Milango iligoma kufunga kwa muda mrefu na gari la zima moto likaja baada ya dakika 20. Habari zaidi tunasubiri.

No comments:

UBUNIFU NA TEKNOLOJIA: MSINGI WA USIMAMIZI BORA WA MISITU NA NYUKI

  Na Mwandishi Wetu, Arusha Kamishna wa Uhifadhi kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo, amewataka Maafis...