Wednesday, August 03, 2016

MRADI WA SAFARI CITY WAVUTIA MAONYESHO YA NANENANE ARUSHA


Afisa Mauzo Thobias Cosmas akiuelezea Mradi wa ‪#‎SafariCity‬ katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika Mkoani Arusha. Maonyesho hayo ya wakulima nane nane kanda ya kaskazini yanafanyika kwenye viwanja vya Themi jijini Arusha.
Afisa Mauzo Thobias Cosmas, akisikiliza na kujibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na watu waliotembelea banda la Shirika la Nyumba katika maonesho ya Nanenane mkoani Arusha. Maonyesho hayo ya wakulima nane nane kanda ya kaskazini yanafanyika kwenye viwanja vya Themi jijini Arusha.
Afisa Mauzo Thobias Cosmas akiuelezea Mradi wa ‪#‎SafariCity‬ katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika Mkoani Arusha. Maonyesho hayo ya wakulima nane nane kanda ya kaskazini yanafanyika kwenye viwanja vya Themi jijini Arusha.
Maafisa Mauzo, Gibson Mwaigomole akitoa maelezo kuhusu Miradi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika maonesho ya Nanenane. Anayeshuhudia ni Benedict Sananga wa Shirika la Nyumba la Taifa. Maonyesho hayo ya wakulima nane nane kanda ya kaskazini yanafanyika kwenye viwanja vya Themi jijini Arusha.


 Banda la maonesho la Shirika la Nyumba la Taifa linavyoonekana katika viwanja vya maonyesho ya Nanenane yanayofanyika Mkoani Arusha. Maonyesho hayo ya wakulima nane nane kanda ya kaskazini yanafanyika kwenye viwanja vya Themi jijini Arusha.

No comments:

NGORONGORO YATOA ELIMU YA UHIFADHI SHIRIKISHI NA KUHAMASISHA UTALII MASHULENI

  Na Mwandishi Wetu, Karatu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea na programu ya kutoa elimu ya uhifadhi shirikishi na kuhamasiha utal...