Wednesday, August 24, 2016

JENGO LA HOSPITALI LENYE THAMANI YA BILIONI 8.8 LAJENGWA JIJINI DAR.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul makonda leo ameonyesha picha za jengo kubwa la hospitali ya kinamama ambalo ujenzi wake tayari umeanza kwa msaada kutoka Serikali ya Korea Kusini na linatarajiwa kuzinduliwa na Rais Magufuli mwezi wa nne mwakani. Jengo hilo litakalogharimu jumla ya shilingi bilioni 8 na milioni 800 litakuwa na uwezo kulaza wakinamama (wagonjwa) 160 kwa wakati mmoja na litakuwa na chuo kwaajili ya wanafunzi na tayari Madaktari kutoka Korea wamesha anzaa kutoa mafunzo ya magonjwa ya kinamama.

No comments:

Prof. Mfaransa Aja na Kitabu: Aiambia Dunia Kutalii Tanzania ni Tiba

Na Mwandishi Wetu Paris, Ufaransa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, akiwa nchini Ufaransa jana Julai 8, 2025 amek...