Saturday, August 13, 2016

WAJUMBE WA BODI NA MENEJIMENTI NHC WAPATA MAFUNZO KUHUSU MAJUKUMU YAO

Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakifuatilia kwa kina mafunzo yanayotolewa Mkufunzi Ian Roger aliyetoa mafunzo yanayohusu Majukumu ya Bodi na Menejiment yaliyofanyika leo asubuhi.
 Mkufunzi Ian Roger akitoa mafunzo yanayohusu Majukumu ya Bodi na Menejimenti yaliyofanyika leo asubuhi makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa NHC Place.
 Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakifuatilia kwa kina mafunzo yanayotolewa Mkufunzi Ian Roger aliyetoa mafunzo yanayohusu Majukumu ya Bodi na Menejimenti yaliyofanyika leo asubuhi.

No comments:

CHUO KIKUU MZUMBE CHAPOKEWA MSAADA WA VITABU KUTOKA ACCA

  Chuo Kikuu Mzumbe kimepokea vitabu 69 vya kufundishia na kujifunzia kutoka Association of Chartered Certified Accountants (ACCA) kupitia o...