Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akipeana mkono na Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza, Benedict Kilimba mara baada ya kukabidhi mabati 704 yenye thamani ya Sh 15.8 milioni kwa Angeline Foundation kwa ajili ya kuezekea madarasa ya shule. Sherehe hii ilifanyika Jumamosi tarehe 27 Agost katika ofisi za Mbunge wa Ilemela.
Waliokuwapo
kutoka kushoto ni Dk Leonard Masale Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Dk.
Angelina Mabula (MB) Naibu Waziri wa
Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi ; Paul Wanga Mkurugenzi wa Manispaa ya
Ilemela ; Nelson Mesha Mwenyekiti wa CCM
Wilaya ya Ilemela na Madiwani 6 wa Jimbo la Ilemela (hawapo pichani)
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akishuhudia wakati akikabidhiwa mabati 704 yenye thamani ya Sh 15.8 milioni kwa Angeline Foundation kwa ajili ya kuezekea madarasa ya shule. Sherehe hii ilifanyika Jumamosi tarehe 27 Agost katika ofisi za Mbunge wa Ilemela.
Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza, Benedict Kilimba na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Paul Wanga wakijaribu kunyanyua mojawapo ya mabati mara baada ya kukabidhi mabati 704 yenye thamani ya Sh 15.8 milioni kwa Angeline Foundation kwa ajili ya kuezekea madarasa ya shule. Sherehe hii ilifanyika Jumamosi tarehe 27 Agost katika ofisi za Mbunge wa Ilemela.
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Dk Leonard Masale, Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula (MB), Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Paul Wanga na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilemela Nelson Mesha wakijaribu kunyanyua mojawapo ya mabati mara baada ya kukabidhi mabati 704 yenye thamani ya Sh 15.8 milioni kwa Angeline Foundation kwa ajili ya kuezekea madarasa ya shule. Sherehe hii ilifanyika Jumamosi tarehe 27 Agost katika ofisi za Mbunge wa Ilemela ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza, Benedict Kilimba akipeana mkono na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi mara baada ya kukabidhi mabati 704 yenye thamani ya Sh 15.8 milioni kwa Angeline Foundation kwa ajili ya kuezekea madarasa ya shule. Sherehe hii ilifanyika Jumamosi tarehe 27 Agost katika ofisi za Mbunge wa Ilemela.
Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza, Benedict Kilimba akipeana mkono na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilemela Nelson Mesha mara baada ya kukabidhi mabati 704 yenye thamani ya Sh 15.8 milioni kwa Angeline Foundation kwa ajili ya kuezekea madarasa ya shule. Sherehe hii ilifanyika Jumamosi tarehe 27 Agost katika ofisi za Mbunge wa Ilemela.
Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza, Benedict Kilimba akipeana mkono na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Paul Wanga mara baada ya kukabidhi mabati 704 yenye thamani ya Sh 15.8 milioni kwa Angeline Foundation kwa ajili ya kuezekea madarasa ya shule. Sherehe hii ilifanyika Jumamosi tarehe 27 Agost katika ofisi za Mbunge wa Ilemela.
Seehemu ya mabati hayo 704 yenye thamani ya Sh 15.8 milioni yaliyokabidhiwa kwa Angeline Foundation kwa ajili ya kuezekea madarasa ya shule. Sherehe hii ilifanyika Jumamosi tarehe 27 Agosti katika ofisi za Mbunge wa Ilemela.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza mara baada ya kukabidhiwa mabati hayo.
Comments