Sunday, August 07, 2016

NAIBU WAZIRI JAFFO, ATEMBELEA MAONYESHO YA KILIMO NANE NANE VIWANJA VYA NZUGUNI, DODOMA

 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, (TAMISEMI) na Mbunge wa Kisarawe jijini Dar es Salaam, Jaffo Suleiman Said, (katikati), akipokewa na Mkuu wa Wizalay ya Ikungi mkoani Singida, Miraji Mtaturu, wakati akiwasili kwenye viwanja vya Maonyesho ya Wakulima Nane Nane, Nzuguni mkoani Dodoma Agosti 6, 2016. Maonyesho hayo ambayo kitaifa yanafanyika mkoani Lindi, huwapa fursa wakulima kuonyesha sjughuli zao za kilimo na ufugaji pamoja na zana za kilimo yatafikia kilele Agosti 8, 2016

Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Jafo Suleiman Said akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa maonesho ya nane nane Nzuguni mjini Dododma


Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Jafo Suleiman Said Jafo akisikiliza kwa makinimaelezo ya kilimo cha mbogamboga yanayofanywa na Jeshi la kujenga Taifa JKT


Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Jafo Suleiman Said Jafo akisikiliza kwa makinimaelezo ya kilimo cha mbogamboga yanayofanywa na Jeshi la kujenga Taifa JKT


Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Jafo Suleiman Said Jafo *watatu kushoto),akizungumza na Luteni AJ Massawe Meneja wa banda la JKT


Naibu Waziri akipokea zawadi ya mafuta ya alizeti kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya KongwaDeogratius Ndejembi

Naibu Waziri katika picha ya pamoja na
na Mkuu wa Wilaya ya ikungi na Kongwa pamoja na watendaji Mfuko wa LAPF
Post a Comment