Tuesday, August 02, 2016

NHC YASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE NGONGO, LINDI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Omary Juma Kipanga (kushoto) akipata maelezo juu ya miradi mbalimbali ya Shirika la Nyumba la Taifa kutoka kwa Afisa mwandamizi wa Masoko na Utafiti wa NHC, Emmanuel Lyimo kwenye banda hilo lililopo katika viwanja vya maonyesho ya Nanenane Ngongo, mkoani Lindi jana.
 Afisa Mwandamizi wa Masoko na Utafiti wa NHC, Emmanuel Lyimo akitoa aelezo mbalimbali kwa wateja kwenye banda hilo lililopo katika viwanja vya maonyesho ya Nanenane Ngongo, mkoani Lindi jana.
 Afisa Mauzo (NHC), Jasson Ipyana akitoa aelezo mbalimbali kwa mteja kwenye banda hilo lililopo katika viwanja vya maonyesho ya Nanenane Ngongo, mkoani Lindi jana.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Omary Juma Kipanga (kushoto) akipata maelezo juu ya miradi mbalimbali ya Shirika la Nyumba la Taifa kutoka kwa Afisa mwandamizi wa Masoko na Utafiti wa NHC, Emmanuel Lyimo kwenye banda hilo lililopo katika viwanja vya maonyesho ya Nanenane Ngongo, mkoani Lindi jana. Wanaoshuhudia ni Meneja wa NHC mkoa wa Lindi, Mussa Patric Kamendu na Mhasibu wa NHC Mkoa wa Lindi, Khalid Mvungi.
Meneja wa NHC mkoa wa Lindi, Mussa Patric Kamendu akijadiliana jambo na Mhasibu wa NHC Mkoa wa Lindi, Khalid Mvungi kwenye banda hilo lililopo katika viwanja vya maonyesho ya Nanenane Ngongo, mkoani Lindi jana. 

 Afisa Mauzo (NHC), Jasson Ipyana akitoa aelezo mbalimbali kwa wateja kwenye banda hilo lililopo katika viwanja vya maonyesho ya Nanenane Ngongo, mkoani Lindi jana.
Post a Comment