Saturday, June 04, 2016

MAMA JANETH MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA KUWAJALI WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Chama cha watu wenye Ulemavu wa Ngozi Mkoa wa Lindi walipomtembelea leo asubuhi kwa ajili ya kupokea msaada wa mafuta ya kujikinga na mionzi ya jua kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.
lid2Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa wakifurahia jambo na mtoto mwenye ulemavu wa ngozi walipomtembelea leo asubuhi Ikulu ndogo Mkoani Lindi kwa ajili ya kupokea msaada wa mafuta ya kujikinga na mionzi ya jua kwa watu wenye ulemavu wa ngozi..
lid3Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiongea na jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi walipomtembelea leo asubuhi Ikulu ndogo Mkoani Lindi kwa ajili ya kupokea msaada wa mafuta ya kuzia mionzi ya jua kwa watu wenye ulemavu wa ngozi ambapo aliiasa jamii kujali kundi hili na kuacha imani potofu dhidi yao. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Godfrey Zambi
lid4Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiongea na jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi walipomtembelea leo asubuhi Ikulu ndogo Mkoani Lindi kwa ajili ya kupokea msaada wa mafuta ya kuzia mionzi ya jua kwa watu wenye ulemavu wa ngozi ambapo aliiasa jamii kujali kundi hili na kuacha imani potofu dhidi yao. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Godfrey Zambi
lid5Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha watu wenye Ulemavu wa Ngozi Mkoa wa Lindi Bw. Hemed Said mafuta ya kuzuia mionzi ya jua kwa watu wenye ulemavu wa ngozi leo Ikulu ndogo ya Mkoa wa Lindi.Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa
lid7Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akikabidhi zawadi ya mbuzi na kuku kwa Mwenyekiti wa Chama cha watu wenye Ulemavu wa Ngozi Mkoa wa Lindi Bw. Hemed Said walipomtembelea leo asubuhi Ikulu ndogo Mkoani Lindi kwa ajili ya kupokea msaada wa mafuta ya ngozi kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa
lid8Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akikabidhi zawadi ya kuku kwa Mwenyekiti wa Chama cha watu wenye Ulemavu wa Ngozi Mkoa wa Lindi Bw. Hemed Said walipomtembelea leo asubuhi Ikulu ndogo Mkoani Lindi kwa ajili ya kupokea msaada wa mafuta ya ngozi kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa
lid9Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli, Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mh. Godfrey Zambi wakiwa katika picha ya Pamoja na jamii ya watu wenye ulemavu leo asubuhi Ikulu ndogo Mkoani Lindi.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
Post a Comment