Monday, February 01, 2016

BALOZI WA SWEDEN AMTEMBELEA SPIKA OFISINI KWAKE

1Balozi wa Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnitt akisaini kitabu cha Wageni alipomtembelea leo ofisini kwake tarehe 01 Febuari, 2016 Mjini Dodoma. Kulia kwake ni Afisa wa Ubalozi wa Sweden Bw. Ludvig Bontell.
3Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnittaliyemtembelea leo Ofisni kwake Mjini Dodoma
4Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifanunua jambo wakati akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnitt. Wengine katika picha ni maafisa wa Ubalozi wa Sweden na Wabunge.
5Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pmoja na Balozi wa Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnitt na Maafisa wengine wa Ubalozi wa Sweden na wa Bunge
6Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiaagana na Balozi wa Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnitt mara baada ya kuzungumza anye ofisini kwake. Kulia ni Afisa wa Ubalozi wa Sweden Bw. Ludvig Bontell.
9Katibu wa Jukwaa la Wahariri Bw Neville Meena akifafanua jambo kwa Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah wakati alipomtembele Ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo. Kuli kwa Spika ni Naibu Katibu wa Bunge-Shughuli za Bunge Bw. John Joel.Wengine katika picha ni Viongozi wa Jukwaa la Wahiri na Maafisa wa Bunge.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
Post a Comment