| Askari polisi wakitoa nyumbani kwa mbunge Filikunjombe mjini Ludewa leo kuungana na wananchi kuomboleza |
| Mbunge Filikunjombe kushoto akiwa na rafiki yake wakipata msosi |
| Wananchi wa Ludewa wakimiminika nyumbani kwa mbunge Filikunjombe kushiriki maombolezo |
| Msemaji upande wa Familia ya Filikunjombe mwalimu Dominic Haule akitambulisha msafara |
| Rafiki mkubwa wa Filikunjombe mbunge wa jimbo la Mwibara Kang Lugola akisalimia |
| Bw Tony akisalimia |
| Wawakilishi wa wasomi wa vyuo vikuu nchini wakisema machache |
| Msomi wa chuo kikuu akisalimia |
| Msanii Kety kutoka Bongo Muvi akisalimia katika msiba huo |
| Eneo la kusaini kitabu cha maombolezo (picha na mzee wa matukidaima Blog) |
No comments:
Post a Comment