Wednesday, May 14, 2014

JK AHUDHURIA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI ILIYOANDALIWA NA NSSF JIJINI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab wakati wakiingia Ukumbiti tayari kwa kushiriki chakula cha jioni na Wadau mbali mbali wa NSSF wanaohudhuria Mkutano wa Nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi tuzo kwa Makampuni na Mashirika mbali mbali ambayo idadi kubwa ya wafanyakazi wake ni wanachama NSSF,wakati wa tafrija ya Chakula cha jioni iliyofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru,Jijini Arusha jana.

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Lady Jay Dee akitoa burudani kwenye hafla hiyo.
Mkongwe wa Muziki wa Dansi nchini,Mzee King Kikii a.k.a Mzee wa Kitambaa cheupe akizikonga vilivyo nyoyo za Mashabiki wake wakati wa hafla hiyo.
Rais Kikwete pia alijumuika na Wadau wa NSSF katika burudani hiyo ya ya Kitambaa cheupe ambacho huhimiza upendo na amani.

No comments: