Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangalizi maalumu (ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam (picha na Freddy Maro)
Comments