Rais Jakaya Kikwete Amuapisha Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Urusi Luteni Generali Wyjones Kisamba na Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Paul Thomas Sangawe IKULU Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 15, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha baada ya kumuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 15, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 15, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha baada ya kumuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 15, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, wakiwa na walioapishwa Luteni Generali Wyjones Kisamba na Mhe Paul Thomas Sangawe Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 15, 2014.Picha na IKULU
Comments