Thursday, May 08, 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA CHINA JIJINI ABUJA

c1 (2)c2 (1)Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang kwa mazungumzo oembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014c3 (1)Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika  jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...