Thursday, May 08, 2014

KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 26 TABORA,SINGIDA NA MANYARA


 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwa na baadhi ya waandishi wa habari Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam leo,  watakaokuwa katika  ziara ya siku 26 ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mikoa ya Tabora,Singida na Manyara inayoanzia kesho wilayani Igunga, Tabora. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam,  kuhusu maandalizi ya ziara ya siku 26 ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mikoa ya Tabora,Singida na Manyara inayoanzia kesho wilayani Igunga, Tabora.Katika ziara hiyo Kinana ataimarisha uhai wa chama, atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM pamoja na kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...