Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo akizungumza wakati wa mkutano wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akiziungumza na wanahisa wa Benki ya CRDB wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia), akifuatilia mkutano huo jijini Arusha.
Baadhi ya Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipita taaarifa ya fedha ya Mwaka 2013.
Comments