ZIARA YA KAMATI YA BUNGE YA MALIASILI NA MAZINGIRA KATIKA MIRADI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA








 Eneo la Mwongozo ambako ujenzi wa nyumba za gharama nafuu 214 zimenza kujengwa
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George  Simbachawene (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu wakati wa ziara hiyo ya kutembelea miradi ya shirika Kibada na Muongozo Kigamboni


Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Isaack Peter, ( katikati), wakati kamati hiyo ilipofanya ziara katika miradi ya ujenzi wa nyumba za shirika hilo, kwenye eneo la Muongozo na Kibada Kigamboni, Dar es es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo. James Lembeli na Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Nehemiah Mchechu.
Baadhi ya nyumba za mwanzo za shirika  hilo zilizouzwa kwa wananchi katika eneo la Kibada.
                               Nyumba mpya na barabara zinavyondelea kujengwa eneo la Kibada
Wabunge  na maofisa wa Shirika la Nyumba la Taifa wakijadiliana katika eneo la mradi Kibada wakati wa ziara hiyo.
Ofisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Sophia Mwema, akionesha mchoro wa picha ya moja ya mfano wa nyumba zinazojengwa eneo la Muongozo wakati wabunge walipotembelea eneo hilo. Picha zote za Umoja Matukio.

Comments