Rais Jakaya Kikwete Alipomfariji Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Kwa Kufiwa na Mama Marehemu Hedwig Laurent Ojjik
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe
wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia bada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama Evelyne Warioba alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi Marehemu Hedwig Laurent Ojjik Oysterbay jijini Dar es salaam Mei 17, 2014
Comments