Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiwa na mbunge Zitto Kabwe kulia
Timu ya wabunge waliofika kumfariji Filikunjombe jana
Mbunge Zitto Kabwe kulia akimfariji mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe jana mjini Ludewa kwa kifo cha babake mbunge Filikunjombe
Mbunge Zitto Kabwe kushoto akishiriki msosi na mbunge Deo Filikunjombe
Katibu wa itikadi na uenezi mkoa wa Njombe Honoratus Mgaya akimwomba Zitto Kabwe kusaidia kushirikiana na mbunge Filikunjombe juu ya ubovu wa miundo mbinu Njombe- Ludewa
DC Ludewa Bw Juma Madaha akitambulisha viongozi mbali mbali
Naibu waziri wa maendeleo ya wanawake na watoto Pindi Chana na mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba kulia kushoto ni mwenyekiti wa CCM Ludewa Bw Stanley Kolimba
Kamanda wa polisi Njombe
Kutoka kushoto mkuu wa wilaya ya Ludewa Juma Madah ,mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe na mbunge wa jimbo la kigoma kaskazani Zitto Kabwe wakiwa katika msiba wa babake Filikunjombe mjini Ludewa mchana wa jana
RPC Njombe akiongoza msafara wa mazishi hayo hii ni polisi jamii ulinzi shirikishi
Mbunge wa jimbo la Mwibara Kang Lugola akishuka katika gari
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kushoto akilitazama jeneza lenye mwili wa babake marehemu Frolian Filikunjombe likiingizwa ndani ya kanisa la RC Ludewa kwa ajili ya ibada ya mwisho kabla ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Ludewa mjini
Picha Zote na Francis Godwin
---
Comments