Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia watoto mapacha waliokuwa wanasubiri kupata matibabu katika Hospitali ya Ngaliema iliyopo jijini Kinshasa
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia watoto mapacha waliokuwa wanasubiri kupata matibabu katika Hospitali ya Ngaliema iliyopo jijini Kinshasa jana.Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo kumjulia hali balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mh.,Antony Ngereza Cheche anayetibiwa hospitalini hapo.Picha na Freddy Maro-IKULU
Comments