Monday, May 26, 2014

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Waudhuria Sherehe za Kula Kiapo Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini Mei 24, 2014
Rais Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake  Mei 24, 2014.Picha na IKULU

No comments:

MKUTANO WA CATA UANGAZIE MIJADALA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA UKUSANYAJI MAPATO - MAKAMO WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema matumizi ya mifumo ya kisasa ya teknolojia ni chachu kati...