Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono waandamanaji aliowapokea katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaamAkiwa mwingi wa furaha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea waandamanaji katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kashikana mikono na viongozi wa serikali na wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) huku wakiimba wimbo wa wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono maandamano ya magari aliyoyapokea katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Wafantakazi Bora kutoka idara na taasisi mbalimbali wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.PICHA NA IKULU
Comments