Monday, May 05, 2014

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji Asherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa, Waheshimiwa Wabunge Halima Mdee na Easte Bulaya Waudhuria

  Shy-Rose akila pozi na keki aliyozawadiwa na mmoja wa marafiki zake.
  Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Bweni Dar es Salaam.
 Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki...
  Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester Bulaya (kushoto) na Halima Mdee wakimlisha keki kwa pamoja Shy-Rose.
 Shy-Rose nae aliwalisha marafiki zake ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester Bulaya (kushoto) na Halima Mdee

Mbunge wa Bunge la Afrika mashariki Akilishwa Keki na ndugu jamaa na marafiki
Shy-Rose Bhanji a.ak.a Mbunge wa Afrika Mashariki akila pozi na marafiki zake Halima Mdee a.k.a Mbunge wa Mujini na Ester Bulaya a.k.a Mbunge wa Kijijini .....ndivyo utani wao ulivyokuwa wakitaniana.Photos by: MD Digital Company +255 755 373999

No comments:

WIZARA YA AFYA YAOMBA SH. TRILIONI 1.8 BAJETI YA 2026/2027

  Wizara ya Afya imeomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi trilioni 1.8 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kwa ajili ya kuendelea kuboresha huduma z...