Juma Nature kuzindua


Kiongozi wa TMK Wanaume Juma Nature Halisi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzunduzi wa album yao mpya itakayojulikana kama “tuugawane umasikini’jana jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Ferooz Mrisho. Picha na Fidelis Felix

Comments