Monday, March 02, 2009

Dk Shein ndani ya Mafia


Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya sekondari Bweni iliyoko kisiwani Mafia jana wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo mkoa wa Pwani. Wengine ni Mkuu wa mkoa Dk Christine Ishengoma, Mkuu wa Wilaya Manzie Mangochie na Mbunge wa Mafia Abdulkarim Shah.
Picha na Clarence Nanyaro VPO.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...