Friday, March 13, 2009

Ziara ya waziri Mkuu




Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha Rose-Migiro na Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo wakiwa pamoja wakielekea katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya fedha na uchumi kwaajili ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

KAMISHNA BADRU ATAKA UBUNIFU ILI KUENDELEZA MAPANGO YA AMBONI

KAMISHNA BADRU ATAKA UBUNIFU ILI KUENDELEZA MAPANGO YA AMBONI  Na Hamis Dambaya, Amboni Tanga. Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ng...