Friday, March 06, 2009

Kikao Kamati Kuu CCM


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Dodoma leo jioni.Kutoka kushoto ni Rais Mstaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Amaan Abeid Karume,Katibu mkuu wa CCM Yusuf Makamba,Mamakmu mwenyekiti Bara Pius Msekwa na Mzee Rashid Mfaume Kawawa(picha na Freddy Maro).
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa CCM, Yusufu Makamba wakiteta kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati hiyo, Mjini Dodoma, March 6,2009. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AMWAKILISHA WAZIRI WA FEDHA KATIKA KONGAMANO LA 16 LA MWAKA LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI – ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Mhandisi Mshamu Ali Munde, amemwakilisha Waziri wa Fedha katika ufunguzi wa Kongamano la 16 la Mwaka la Wa...