Tanzania Mitindo house pia iliandaa chakula cha mchana katika hafla fupi ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani leo kwenye ukumbi wa utamaduni wa rashia,huku madhumuni makubwa ya hafla hiyo ikiwa ni kuwakutanisha wanawake kutoka sekta mbalimbali na kuzungumza,kupata chakula cha mchana,kucheza na kufurahi pamoja.

Comments
http://blogutanzania.blogspot.com/
www.ringojr.wordpress.com