Tuesday, January 01, 2008

Wakenya 30 wachomwa kanisani

Watu 40 waliokuwa wamepata hifadhi katika kanisa moja mjini Eldoret wameuawa baada ya kuchomwa moto. Walipata hifadhi tangu siku mbili zilizopita na wanadaiwa walikuwa wamempigia kura Kibaki. Wameuawa leo saa saba mchana pia kuna wengine 18 wameuawa usiku wa kuamkia leo mjini Mombasa , nyumba semeteketezwa kwa moto kwa taarifa zaidi hebu cheki hapa. 

No comments:

Slovakia Yafungua Ubalozi Tanzania

Balozi Mteule wa kwanza wa Slovakia nchini Tanzania, Mhe. Ivan Lančarič amewasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo...