Saturday, January 19, 2008

Ufisadi Air Tanzania Corp. Ltd Jk iokoe kampuni


Kuna hawa Watanzania wenzetu waliopo ndani na nje ya ATCL wameona hawawezi kukaa kimya wakiangalia jinsi inavyoangamia kwa ufisadi wa kisayansi.

Wanasema kuna Ufisadi wa kisayansi kwa sababu wanaofanya ufisadi huo ni uongozi wa kampuni kwa kutumia nafasi zao za madaraka na kujifanya huo ndio uongozi.

Wametaja watu kibao wanaodai ni mafisadi na pia wametaja mianya kibao inayowahusisha washirika hao. Hebu Bonyeza
hapa upate habari zaidi.

No comments:

TANZANIA YAIPONGEZA NORWAY KWA KUENDELEA KUUNGA MKONO MAENDELEO

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameipongeza Serikali ya Ufalme wa Norway kwa ...