Kamanda wetu aliyekuwapo Kenya hivi karibuni, danny mwakiteleko akiwajibika huku mzee wa sumo akingoja zamu yake kwa nyuma. Sijui humo ndani ya vyupa kuna karubisi au ni bia.
Ukweni hakuna cha bosi wala nini. wote kubeba mzigo kichwani
Kazi ya ushenga ni kazi kubwa hebu cheki jamaa hapa mtu mzima kapiga magoti akiomba idhini ya wazee.
Comments