Saturday, January 19, 2008

Ile pangua pangu ilimkumba huyu jamaa



Ile panga pangua ya BoT ilimkumba kigogo Amatus Liyumba, ambaye inasemekana ndiye alikuwa akikaimu ugavana wakati Ballali alipokuwa nje kwa kipindi kirefu kipindi kile ambacho Naibu Gavana Mbaye alipoondoka na kabla Naibu Gavana Reli hajateuliwa.

2 comments:

Anonymous said...

mmh huyu si ndiyo mzee wa magari mekundu..

afya mgogoro apumzike keshaua wengi kwa pesa za ufisadi

Anonymous said...

sasa kama ana magari mekundu wewe inahusu???kama umalaya ni wao wenyewe wanawake kujipeleka na sio swala lake...ndio mtabaki tu kusema hivyo hivyo..na mkichoka mtakaa kimya...kama pesa anazo na ndo anatumia...na hao wanawake lazma wajipeleke sababu wanapenda pesa...na yote hayo ni wivu,msione mtu anatajiri..nasi mshaanza kusema!!

Slovakia Yafungua Ubalozi Tanzania

Balozi Mteule wa kwanza wa Slovakia nchini Tanzania, Mhe. Ivan Lančarič amewasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo...