Friday, January 11, 2008

Waziri Mkuu yuko Zanzibar



Waziri Mkuu, Edward Lowassa akiwa na Waziri Kiongozi wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Zanzibar jana kuhudhuria sherehe za Mapinduzi zitakazofanyika kesho. Kulia ni mke wa Waziri Mkuu, Mama Regina Lowassa . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Slovakia Yafungua Ubalozi Tanzania

Balozi Mteule wa kwanza wa Slovakia nchini Tanzania, Mhe. Ivan Lančarič amewasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo...