Saturday, January 12, 2008

Kibamba kuwa mji mkubwa



Eneo la Kibamba hivi karibuni liapandishwa hadhi na kuwa mji mkubwa tu lengo likiwa ni kuwavutia wananchi wa uko kubakia huko huko kwa kila kitu ikiwamo mahitaji ya majumbani hadi wakati mwingine maofisi na vitu vingi pichani unaweza kujionea maandalizi.

No comments:

Slovakia Yafungua Ubalozi Tanzania

Balozi Mteule wa kwanza wa Slovakia nchini Tanzania, Mhe. Ivan Lančarič amewasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo...