Tuesday, January 08, 2008

Kibaki afanya kituko kingine

Rais Mwai Kibaki ambaye huenda ni Mzeee pengine kuliko wengi Afrika ambaye taifa lake la Kenya linakabiliana na mikikimikiki ya kisiasa baada ya kudaiwa kuiba kura na kujitangazia ushindi hii leo kafanya kiroja kingine yaani kabla ya wasuluhishi kufanya mambo tayari kateua serikali yake yenye mawaziri 17 akiwamo makamu wa Rais Stephen Kalonzo Musyoka wengine katika baraza hilo ni

1. Internal Security – Prof George Saitoti

2. Defence – Yusuf Hajji

3. Special Programmes – Naomi Shaban

4. Public Service - Asman Kamama

5. Finance – Amos Kimunya

6. Education – Prof Sam Ongeri

7. Foreign Affairs – Moses Wetangula

8. Local Government – Uhuru Kenyatta

9. Information and Communications – Samuel Poghisio

10. Water and Irrigation – John Munyes

Waweza kusoma zaidi hapa GAZETI LA NATION ili mpate taarifa zaidi

No comments:

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AMALIZA ZIARA YA SIKU MOJA MKOANI MBEYA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), leo ameondoka Mkoani Mbeya baada ya kukamilisha zi...