Saturday, January 12, 2008

Mapinduziiiiiii


Vijana wamebeba bango la mchoro wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume.







Rais Jakaya Kikwete akisalimia wananchi waliojitokeza katika uwanja wa Amani alipoudhulia sherehe za Mapinduzi. chini, Rais Aman Abeid Karume akikagua gwaride la heshima jana katika uwanja wa Amani, Zanzibar katika sherehe za miaka 44 ya Mapinduzi Zanzibar na hao wengine chini ni Valantia wakali hao. Picha na Edwin Mjwahuzi

1 comment:

Darren Demers said...

Vijana wamebeba bango la mchoro wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume.
wholesalesalwar ,
stitched salwar kameez wholesale ,

RAIS SAMlA AFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS TSHISEKEDI

  Dar es Salaam, 26 Machi 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan , amekutana na kufanya mazungu...