Balali anyang'anywa paspoti


U.S. Embassy Tanzania

Press Release

January 16, 2008 The United States said on Wednesday it had revoked former central Bank of Tanzania (BOT) governor Daudi Ballali's visa to the United States, saying he was no longer a government official after being fired last week.

Tanzanian President Jakaya Kikwete sacked Ballali over an irregular 133 billion Tanzania shillings payment made out of BOT's External Payment Arrears account to 22 companies. Kikwete appointed Benno Ndulu to replace him.

"The United States Government has informed the Tanzanian government that it is revoking ... Ballali's visa because he no longer represents Tanzania," the U.S. Embassy in Tanzania said in a statement.

Kikwete also ordered a freeze on payments out of External Payment Arrears until a probe was complete into the dubious payments, made in 2005 using flawed or non-existent records.It was not clear if Ballali is currently in the United States, but Tanzanian media reported in December that the former governor had gone there for treatment.

"Because of the termination of his service, he no longer represents the government and is no longer eligible for his current non-immigrant visa status," the U.S. statement said.Fighting graft has been among Kikwete's top priorities since he came to power in late 2005.

Last year parliament passed a tougher anti-graft law targeting government procurement among other areas.


Kwa kiswahili taarifa hii inasema hivi


Kuachishwa kazi kwa Gavana wa zamani wa BoT


kwabatilisha viza yake ya Marekani

Hivi karibuni, Serikali ya Tanzania iliulizia kuhusu hadhi ya Bwana
Daudi Balali, Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania, baada ya
kuachishwa kazi hivi karibuni. Serikali ya Marekani imeitaarifu Serikali
ya Tanzania kuwa inabatilisha viza ya Bwana Balali kwa sababu
haiwakilishi tena Tanzania.

Bwana Balali alipewa viza hiyo kutokana na wadhifa wake kama mwakilishi
wa Serikali ya Tanzania. Kwa hiyo, kwa sababu ajira yake sasa
imesitishwa, haiwakilishi tena serikali na hastahili kuwa na viza aliyo
nayo sasa hivi ambayo siyo ya kuhamia Marekani (non-immigrant visa
status).

Kuongeza uwazi na kupiga vita ufisadi ni maadili makuu mawili ambayo
Serikali ya Marekani na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
vinayathamini sana. Tunaunga mkono uamuzi wa Serikali ya Tanzania
kufanya uchunguzi kuhusu ubadhirifu uliofanywa kwenye Benki Kuu ya
Tanzania, na tunaamini kuwa uamuzi huu unadhihirisha azma ya Rais
Kikwete kupambana na vitendo vya rushwa. Uchunguzi na ufunguzi mashtaka
wa haraka kwa wahusika katika kadhia ya Benki Kuu ya Tanzania ni muhimu
sana.

Kuna historia ya ushirikiano wa karibu kati ya mataifa yetu mawili. Nchi
zetu mbili zinafanya juhudi za dhati kufanya kazi pamoja kwa karibu
kung'oa mizizi ya rushwa na kumpeleka mbele ya vyombo vya sheria, mtu
yeyote atakayepatikana na makosa ya kujihusisha na vitendo vya rushwa.

.

Comments

Darren Demers said…
Last year parliament passed a tougher anti-graft law targeting government procurement among other areas.
black and yellow punjabi suit ,
black shalwar kameez for girl ,