Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akikaribishwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Kesogukewele Msita wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akizungumza wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji
Comments