Monday, August 14, 2017

WAZIRI MKUU NA MKEWE WAMJULIA HALI MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM) KIGOMA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mke wake Mary wakimjulia hali   ,Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma  Mheshimiwa Josephine Ngezabuka .ambaye amelazwa kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma. katikati mwenye miwani ni Naibu spika Dkt. Tulia Akson.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Naibu Spika Dr Tulia Akson mwenye miwani  akiwa na Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako (c) pamoja na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Catherine Magige wakimjulia hali , Mbunge wa Viti maalumu CCM Mkoa wa Kigoma  Mheshimiwa Josephine Ngezabuka ,ambaye amelazwa  kwa matibabu katika Hosptali ya Muhimbili (MOI) Baada yakupata ajali hivi karibuni Mkoani Kigoma.

No comments:

TAWIRI YASHIRIKI MKUTANO WA KIMKAKATI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Mkurugenzi Mkuu TAWIRI Dkt. Eblate Mjingo ni miongoni mwa Wakuu wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii wanaoshiriki  mkuta...