Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mwakilishi mkazi wa UNICEF) Nchini Tanzania Bibi Maniza Zaman Ogasti 2. 2017 Ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi mkazi wa UNDP nchini Tanzinia Bwana Alvaro Rodriguez , wakati walipo mtembelea ofisini kwake Magogoni Dar es salaam .kwa mazungumzo ya kikazi Katikati ni Mwakilishi wa UNISEF Nchini Tanzania Maniza Zaman.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi wa UNISEF Nchini Tanzania Bibi Maniza Zaman . wakati alipofika ofisini kwa Waziri Mkuu . magogoni Dar es salaam agosti 2. 2017 kwa mazungumzo ya kikazi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments