Saturday, August 12, 2017

MAANDALIZI YA UZINDUZI NYUMBA ZA MAKAZI NA KUKABIDHI HATI KWA WAENDELEZAJI WENZA WA MJI WA KISASA WA SAFARI CITY


Meneja wa Vitovu vya Miji wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bulla Boma akifafanua jambo kuhusiana na namna Kitovu cha Mji cha Safari City kitakavyokuwa wakati wa maandalizi ya uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji .
 Meneja wa Vitovu vya Miji wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bulla Boma akifafanua jambo kuhusiana na namna Kitovu cha Mji cha Safari City kitakavyokuwa wakati wa maandalizi ya uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji. Uzinduzi wa Nyumba 10 za mfano na makabidhiano ya Hati Miliki 100 za viwanja utafanywa kesho na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi. 
 Meneja Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akiwa ameongozana na timu ya Watangazaji wa Redio Clouds FM, Freddy Fidelis (FredWar) na Jimmy Jam wakati wakipita kushuhudia namna mambo yanavyokwenda katika eneo la Safari City
 Timu ya Shirika la Nyumba la Taifa wakati wakipita kushuhudia namna mambo yanavyokwenda katika eneo la Safari City, Matevez Arusha.
 Meneja Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akiwa ameongozana na timu ya Watangazaji wa Redio Clouds FM, Freddy Fidelis (FredWar) na Jimmy Jam wakati wakipita kushuhudia namna mambo yanavyokwenda katika eneo la Safari City.
Nyumba 10 za mfano za Shirika la Nyumba la Taifa zinavyoonekana leo kabla ya kufunguliwa rasmi kesho.


Post a Comment