Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsalimia msaidizi wa Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
MAZUNGUMZO YAKIENDELEA
🔻
ZAWADI YA NGAO
🔻
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akikabidhiwa zawadi ya ngao na Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimshukuru Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, wakati akipokea zawadi hiyo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa wa Itifaki katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Makao Makuu ya CCM, Frank Uhahula
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza hadi nje, Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Qatar hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO. PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA
Comments