Saturday, August 12, 2017

WAZIRI LUKUVI AZINDUA NYUMBA ZA MAKAZI NA KUKABIDHI HATI KWA WAENDELEZAJI WENZA WA MJI WA SAFARI CITY ARUSHA

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa nyumba za mfano ambapo kati ya nyumba 10 zilizojengwa na NHC , nyumba saba zimeshanunuliwa.

  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akimkabidhi hati mmoja wa wamiliki wa ardhi wakati wa uzinduzi wa nyumba za mfano na makabiadhiano ya Hati Miliki za Viwanja 100 za kwanza kwaajili ya Uendelezaji.

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisoma kibao cha kwenye eneo alipozindua baada ya uzinduzi wa nyumba za mfano ambapo kati ya nyumba 10 zilizojengwa na NHC , nyumba saba zimeshanunuliwa.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wakuu wa Mkoa wa Arusha na baadhi ya wamiliki baada ya kuzindua nyumba za makazi za Safari City pamoja na kukabidhi hati kwa wamiliki, waendelezaji wenza wa Safari City.

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...