Wafanyakazi wanawake wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa wakifuatilia kwa karibu mafunzo hayo, mafunzo hayo yaliwajumuisha wanawake wote wa Shirika la Nyumba la Taifa Makao Makuu na Mikoa yote ya Dar na Pwani.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka akizungumza na Wafanyakazi wanawake wa Shirika la Nyumba la Taifa juu ya masuala mbalimbali, baadhi ya masomo aliyofundisha ni pamoja na Mwanamke jitambue na jiamini, Hali uliyonayo sasa au hapo ulipo sasa si hatima ya maisha yako, Funga mkanda pambana mbele yako kuna MAFANIKIO YA AJABU SANA, Siyo lazima ufe maskini, bado lingalipo tumaini, Kesho yako ni bora Zaidi kuliko Jana yako
No comments:
Post a Comment