SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LATOA MSAADA WA MIFUKO 300 NA BATI 300 KWA SHULE YA SEKONDARI YA SEKONDARI KASSIM MAJALIWA, RUANGWA-LINDI
Kaimu Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mkoa wa Lindi Gibson Mwaigomole
akimkabidhi vifaa hivyo Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti pembeni
wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa na Katibu Tawala wa Wilaya.
Kaimu Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mkoa wa Lindi Gibson Mwaigomole katika picha ya pamoja akifuatiwa kushoto kwake na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa
Joseph Mkirikiti, Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Thomas Luambano wengine ni maafisa
kutoka Shirika la Nyumba Mkoa wa Lindi Khalid Mvungi, Edward Haule na
Augustino Mkate wakiwa mbele ya moja ya madarasa katika shule hiyo.Kaimu Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mkoa wa Lindi Gibson Mwaigomole akibadilishana jambo na Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Thomas Luambano wengine ni maafisa kutoka Shirika la Nyumba Mkoa wa Lindi Khalid Mvungi, Edward Haule na Augustino Mkate wakiwa mbele ya moja ya madarasa katika shule hiyo.
Kaimu Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mkoa wa Lindi Gibson Mwaigomole akimkabidhi vifaa hivyo Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti pembeni wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa na Katibu Tawala wa Wilaya.
Kaimu Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mkoa wa Lindi Gibson Mwaigomole katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti, Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Thomas Luambano wengine ni maafisa kutoka Shirika la Nyumba Mkoa wa Lindi Khalid Mvungi wakiwa mbele ya msaada uliotolewa kwaajili ya shule hiyo.

Comments