Saturday, August 05, 2017

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AWAILI KWENYE SHEREHE ZA UZINDUZI WA UJENZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA CHONGOLEANI, TANAGA ASUBUHI HII

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mzee Maarufu alipowasili kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa omba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania, zilizofanyika leo katika Kijiji cha Chongoleani, kilometa zaidi ya nane kutoka mjini Tanga, ambako mradi huo unajengwa.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Spika Mstaafau wa Bunge Anna Makinda, alipowasili kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa omba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania, zilizofanyika leo katika Kijiji cha Chongoleani, kilometa zaidi ya nane kutoka mjini Tanga, ambako mradi huo unajengwa
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na mmoja wa wageni, alipowasili kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa omba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania, zilizofanyika leo katika Kijiji cha Chongoleani, kilometa zaidi ya nane kutoka mjini Tanga, ambako mradi huo unajengwa
Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi baada ya kuketi eneo la awaali alipowasili kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa omba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania, zilizofanyika leo katika Kijiji cha Chongoleani, kilometa zaidi ya nane kutoka mjini Tanga, ambako mradi huo unajengwa. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbaarawa.
Katibu Mkuu wa CCM Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi baada ya kuketi eneo la awaali alipowasili kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa omba la Mafuta kutoka Uganda kuja Tanzania, zilizofanyika leo katika Kijiji cha Chongoleani, kilometa zaidi ya nane kutoka mjini Tanga, ambako mradi huo unajengwa. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbaarawa.
Bango la Mradi huo
Spika Mstaafu wa Bunge Anna Makinnda akisalimiana na Jaji mstaafu, Mohamed Othman Chandeda kwenye hafla hiyo
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwenye hafla hiyo
Wananchi wakiwa wamefurika asubuhi kwenye hafla hiyo
Baadhi ya wageni waalaikwa wakiwa kwenye hafla hiyo
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza mwanzoni mwa shehehe hiyo
Baadhi ya waliohudhuria kwenye hafla hiyo wakibadilishana mawazo
Wananchi wakiendelea kumiminika kwenye eneo la tukio, kabla ya wageni Rasmi, Rais Dk John Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museni kuwasili kwenye sherehe hizo. Picha zote na Bashir Nkoromo
Post a Comment