Masaidizi wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Petro Magoti akimpokea Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Inmi Petterson, alipowasili ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Katibu wa NEC, Itikadi na Uwenezi, Humphrey Polepole, leo. (Picha zote na Bashir Nkoromo) |
Comments