Wednesday, September 18, 2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa hotei ya Grumeti iliyopo Serengeti


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa hotei ya Grumeti iliyopo Serengeti  ambako alihudhuria maadhimisho ya Siku ya Mara Septemba 16, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AMWAKILISHA WAZIRI WA FEDHA KATIKA KONGAMANO LA 16 LA MWAKA LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI – ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Mhandisi Mshamu Ali Munde, amemwakilisha Waziri wa Fedha katika ufunguzi wa Kongamano la 16 la Mwaka la Wa...